GET /api/v0.1/hansard/entries/1013945/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1013945,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1013945/?format=api",
"text_counter": 72,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Linturi",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 69,
"legal_name": "Franklin Mithika Linturi",
"slug": "franklin-linturi"
},
"content": "Bw. Spika, mimi ni mtiifu wa sheria na kanuni za Bunge hili. Nilipofika pale ‘ nilibow’ lakini ulikuwa umeketi. Singeingia kama ulikuwa umesimama kwa sababu nafahamu kanuni za Bunge. Pengine kwa sababu sioni mbali, nimefika katikati ukasimama. Kile ningeomba ni unipe nafasi nibow na nirudi nikae sababu na heshimu Bunge hili."
}