GET /api/v0.1/hansard/entries/1014184/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014184,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014184/?format=api",
"text_counter": 75,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mvita, ODM",
"speaker_title": "Hon. Abdullswamad Nassir",
"speaker": {
"id": 2433,
"legal_name": "Abdulswamad Sheriff Nassir",
"slug": "abdulswamad-sheriff-nassir"
},
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika. Kupitia Kanuni za Bunge, ningependa kupata jawabu kutoka kwa Waziri mwenye kuhusika na masuala ya afya. Kwanza, sote tunafahamu kuwa wakati janga la Corona lilipokuwa linaingia huku kwetu, maeneo ya Old Town na Eastleigh yalifungwa ikawa hamna kuingia wala kutoka. Ni muhimu sasa tuweze The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}