GET /api/v0.1/hansard/entries/1014948/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1014948,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014948/?format=api",
    "text_counter": 466,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "equipment itakapoisha. Je, tutaendelea vipi? Kwa mfano, kaunti yangu ambayo iko na vifaa vya ICU ziondolewe baada ya hii miaka mitano kutamatika. Kwa hivyo, lazima kuwe na mpangilio madhubuti ya kuhakikisha kwamba vile vyombo havitaondolewa, hali ya afya itadorora tena. Kuna Kaunti tumeambiwa, kwa mfano, Meru, ambazo vifaa vyao bado havijakuja Kenya viko kule Netherlands. Nafikiri pia ni lazima huu mkataba uangaliwe tena ili zile pesa zilizo lipwa kwa vile vifaa, labda muda uongozwe ili vifaa hivyo vitumike kwa miaka iliyopendekezwa. Bw. Spika, kuna mapendekezo yametolewa hapa na Kamati ambayo kusema ukweli hayaeleweki vizuri. Hii ni kwa sababu hayajataja watu wa kuchunguzwa. Katika kila sura, kuna mapendekezo hapo chini, labda yale mapendekezo ndio yalihitajika kutolewa na kuwekwa kwa kila sura ya mwisho. Hii Ripoti ilivyo sasa, mapendekezo hayaambatani na ule mwili wa Ripoti. Jambo la mwisho kabisa, kama ningeulizwa kama Seneta wa Taita-Taveta, ningesema yakwamba tungeunda tume ya kuchunguza huu mradi wa MES. Tume ambayo itasimamiwa na hakimu na wale wahusika wote waje mbele yake na waelezee vile walihusika moja kwa moja katika huu mradi wa MES. Bw. Spika, mradi ni mzuri na unahitajika---"
}