GET /api/v0.1/hansard/entries/1014950/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1014950,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014950/?format=api",
    "text_counter": 468,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii ya kutoa maoni yangu kuhusu hii ripoti ya vifaa vya huduma ya afya. Mwanzo, hili ni jambo linafedhehesha staha ya hili Bunge la Seneti. Ukiangalia ugavi wa mapato ya nchi utakuta kwamba kulisheheni kwa miaka saba mtawalia tutakuwa tukitumia kitita fulani cha fedha ambacho kingeangaziwa kwa hivi vifaa. Lakini, jinsi mambo yalivyo, miaka miwili iliyopita kulikuwa na tetesi zilizojitokeza kutokana na ule mswada wa mgao wa mapata,"
}