GET /api/v0.1/hansard/entries/1014952/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014952,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014952/?format=api",
"text_counter": 470,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Hizi fedha ziliongezeka kutoka Kshs4.7 bilioni hadi Kshs6.1 bilioni. Ni jambo la kushangaza, tulipomuuliza Waziri husika aliyekuwepo, mheshimiwa Henry Rotich, akasema ni hitilafu ya tarakirishi."
}