GET /api/v0.1/hansard/entries/1014953/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1014953,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014953/?format=api",
    "text_counter": 471,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Swala ambalo tulijiuliza ni, je, kunawezaje kuwa na hitilafu ya karibu Kshs2 bilioni. Ripoti hii imeonyesha wazi. Mimi nachukulia huu kama wizi mkubwa wa mali ya umma. Ni pesa ambazo zimetengwa kwa huduma ama majukumu ambayo yamegatuliwa, lakini kupitia mikataba ya serikali ugatuzi tunaona vile ambavyo hivi vifaa vilvyokodiwa ni jambo kla kutamausha. Ukiangazia zaidi ya Kshs63 billioni zimetumika katika mradi huu ilhali mahospitali yetu hayana vifaa vya kutosha. Vingi vya vifaa hivi havijatumika kwa sababu hatuna wataalam wa kutosha fauka ya kwamba tumeleta madaktari kutoka nchi ya Cuba."
}