GET /api/v0.1/hansard/entries/1014954/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014954,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014954/?format=api",
"text_counter": 472,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "Bw. Spika, jambo hili ni la kufedhehesha ambalo tunafaa kuchukua msimamo. Kamati imeeleza kinagaubaga, shida, matatizo, madhila na majanga ya mradi huu. Lakini ukiangazia mapendekezo yao, hayana mashiko. Mapendekezo haya ni ya kijuu juu. Haya mwangazii mtu yeyote kibinafsi iwe kwamba hakuna mtu yeyote aliyefanya hatia, wawe watu wataweza kusitiliwa na sheria zinazotokana na kukinga afisi walioko. Ni vizuri tuwe tunajua kampuni zilizohusika na mradi huu."
}