GET /api/v0.1/hansard/entries/1014956/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014956,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014956/?format=api",
"text_counter": 474,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13129,
"legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
"slug": "isaac-mwaura"
},
"content": "wote waliotia sahihi nyaraka hizi wachukuliwe hatua. Haiwezekani tuje hapa, tuongee kama chiriku aliyekunywa maji ya chooni ilhali hakuna choshote kitachukuliwa na hotuba na marubano ambayo hayaishi. Ni lazima Bunge la Seneti liimarishe staha yake kwa kuhakikisha hii ripoti itupiliwe mbali kwa sababu ya yale mapendekezo ambayo nimetoa."
}