GET /api/v0.1/hansard/entries/1014960/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1014960,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014960/?format=api",
    "text_counter": 478,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa kunipa fursa hii kuchangia Ripoti ya vifaa vya matibabu. Kwanza, ninajiunga na Maseneta wezangu kupongeza Kamati kwa kazi nzuri iliyoifanya ya kuzuri kaunti kadha wa kadha ili walete ripoti hii."
}