GET /api/v0.1/hansard/entries/1014964/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1014964,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014964/?format=api",
    "text_counter": 482,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Mradi huu ulikuwa na malengo mazuri sana. Lakini utekelezaji wake ndio uliyoleta mtafaruku, sinitofahamu na ufujaji wa pesa. Jambo la kwanza hakukufanywa utafiti wa kujua mahitaji ya kila kaunti. Ingekuwa ni jambo bora kama tungejua mahitaji ya vifaa vya kila kaunti ili viwe na manufaa kwa watu wetu. Mrundiko wa masanduku ya vifaa katika stoo za kaunti zetu hauna faida kwa watu wetu ikiwa vifaa hivyo havitumiki vilivyo."
}