GET /api/v0.1/hansard/entries/1014965/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014965,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014965/?format=api",
"text_counter": 483,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, utaona pia kuwa kaunti nyingi hazikuwa zimejitayarisha. Kwa mfano, mashini za dialysis zinahitaji maji safi. Hospiali nyingi nchini hazina maji safi na kutosha kuwahudumia wananchi wetu. Ni kweli kaunti nyingi hazikua zimejitayarisha kupokea vifaa hivi."
}