GET /api/v0.1/hansard/entries/1014966/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014966,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014966/?format=api",
"text_counter": 484,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Kaunti ambazo zinaona mbele zimefaidika na vifaa hivi. Kaunti ambazo bado ziko katika fikra ya kurudi nyuma hazijafaidika na vifaa hivi. Hatukuweza kupata value formoney katika kaunti nyingi ambazo vifaa hivi vimepelekwa."
}