GET /api/v0.1/hansard/entries/1014967/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014967,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014967/?format=api",
"text_counter": 485,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, pia nilibahatika kuzuru Kaunti ya Meru na Kamati ya COVID-19. Tuliona kwamba vifaa vya ICU walivyopewa vilikua bado katika stoo miaka mitatu iliyopita. Hawajaweza kujenga ICU kuweza kutumia vifaa hivo. Tulizuru Kaunti ya Kilifi. Vifaa vya ICU havijatumika kwa muda wa miaka mitatu. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}