GET /api/v0.1/hansard/entries/1014993/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1014993,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014993/?format=api",
"text_counter": 511,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante sana, Bw. Spika kwa kunipa fursa hii ili niweze kuchangia Hoja hii. Kusema kweli, mradi huu ulikuwa ni mzuri sana katika nchi yetu ya Kenya. Ukiangalia katika kaunti zetu, kuna kaunti zingine ambazo hazikujua lini watapata mashine kama zile za kukagua na kusafisha figo, Intensive Care Unit (ICU) na zinginezo."
}