GET /api/v0.1/hansard/entries/1014998/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1014998,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1014998/?format=api",
    "text_counter": 516,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Huu mradi ulipokuja katika nchi yetu ya Kenya, watu wengi sana walifurahia kuona kwamba hali ya matibabu katika nchi yetu---- Kwa wale ambao walikuwa hawana uwezo na wale ambao hali yao ni nyembamba kwenda kwa hospitali kubwa, huu mradi ulipoingia, umewasidia wananchi wengi sana. Maradhi kama ya figo, ukiangalia Kenya, mtu akiwa na ugonjwa wa figo kama Hana Ksh1 The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only.A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}