GET /api/v0.1/hansard/entries/1015382/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1015382,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1015382/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Hon. Danson Mwasha",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13509,
        "legal_name": "Danson Mwashako Mwakuwona",
        "slug": "danson-mwashako-mwakuwona"
    },
    "content": "ko (Wundanyi, WDM-K): Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Sitasema mambo mengi leo kwa sababu mengi yamesemwa. Nina mambo kama matatu hivi ambayo ningetaka kusema. Kwanza, naunga mkono mjadala huu kwamba sheria ya tatu ambayo imepitishwa na Seneti tuiunge mkono kama Bunge la Taifa. Haya yaliyojadiliwa ndani ya Seneti kwa muda mrefu yalitatiza sana shughuli katika kaunti nyingi hapa Kenya. Nilitamani sana nguvu ile wenzetu wa Seneti..."
}