GET /api/v0.1/hansard/entries/1015740/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1015740,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1015740/?format=api",
    "text_counter": 265,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia fursa hii ili niweze kuongea juu ya mwandishi mkuu wa vyama vya kisiasa hapa nchini. Kwanza, nimefurahi kwa sababu Mhe. Rais ametuletea majina hapa. Alikuwa ameleta majina mawili ya wanawake na mawili ya wamaume. Hivyo, nampongeza sana Mhe. Rais kwa kuwa aliona kuwe na usawa katika ugawaji wa kazi hii ambayo iko katika afisi ya watu wanne."
}