GET /api/v0.1/hansard/entries/1015741/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1015741,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1015741/?format=api",
    "text_counter": 266,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Mhe. Spika tuko katikati ya maswala ya jinsia na nataka kumpogeza Rais kwa kufanya huo uamuzi. Kwa ufupi, ningependa kusema katika hao wote wane, Ann Nderitu na Florence Birya ni akina dada ambao nawafahamu. Nafahamu kazi zao na kwa muda mrefu, niko na imani kuwa wataweza kazi hii."
}