GET /api/v0.1/hansard/entries/1015742/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1015742,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1015742/?format=api",
"text_counter": 267,
"type": "speech",
"speaker_name": "Taveta, JP",
"speaker_title": "Hon. (Ms.) Naomi Shaban",
"speaker": {
"id": 139,
"legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
"slug": "naomi-shaban"
},
"content": "Kulingana na kubobea kwa kazi ya Ann Nderitu ni sawa amepatiwa kuwa mwandishi mkuu wa kusimamia vyama vya kisiasa hapa nchini. Florence Birya pia namfahamu na najua anaweza kazi na bila shaka atafanya kazi nzuri. Kwa uchache tu, ningependa kuzungumzia juu ya kijana The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}