GET /api/v0.1/hansard/entries/1015745/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1015745,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1015745/?format=api",
    "text_counter": 270,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Taveta, JP",
    "speaker_title": "Hon. (Ms.) Naomi Shaban",
    "speaker": {
        "id": 139,
        "legal_name": "Naomi Namsi Shaban",
        "slug": "naomi-shaban"
    },
    "content": "Natoa shukran kwa kamati kwa kazi waliofanya. Nikimalizia ni kumrudishia Mhe. Rais shukran kuwa ametupatia nafasi mbili kwa akina mama kati ya nafasi nne. Hili ni jambo limenifurahisha. Saa hizi ni nafasi mbili kati ya nafasi tatu. Hivyo basi, thuluthi mbili zimeangaliwa na Mhe. Rais."
}