GET /api/v0.1/hansard/entries/1016075/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1016075,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016075/?format=api",
"text_counter": 102,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Spika, watu wa Lamu wanaendelea kusononeka kwa shida, ilhali Seneta kutoka Kilifi anajua vizuri watu walionyakua ardhi yao. Ni vizuri angelisema mbele wa Bunge hili, badala ya kungoja, ilhali wale ndugu zetu wanaendelea kusononeka na kuishi kwa umasikini. Kama angelisema angelisaidia zaidi na Seneta wa Lamu angefurahi pamoja na wanaodhulumiwa na mabepari."
}