GET /api/v0.1/hansard/entries/1016082/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1016082,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016082/?format=api",
"text_counter": 109,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Olekina",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 407,
"legal_name": "Ledama Olekina",
"slug": "ledama-olekina"
},
"content": "Bw. Spika, kama utaweza kupendekeza swala hili lishughulikiwe na Kamati inayohusika na masuala ya ardhi. Ni mbele ya Kamati hiyo ambapo majina yanaweza kutolewa. Kuyatoa majina hayo mbele ya Bunge wakati huu haitakuwa vizuri. Kufanya hivyo ni kama kutoa premature kama wasemavyo Waingereza."
}