GET /api/v0.1/hansard/entries/1016085/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1016085,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016085/?format=api",
"text_counter": 112,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Tume ya Ukweli, Haki na Maridhiano iliandika Ripoti zamani, na hadi sasa Serikali bado haijaiweka wazi. Ripoti ya Tume hiyo inafaa kuwekwa parwanja ili kila mtu aisome na ajue ni nini iko ndani yake, na ni kwa sababu gani Serikali haitaki kuifichua."
}