GET /api/v0.1/hansard/entries/1016430/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1016430,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016430/?format=api",
    "text_counter": 34,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ipo haja ya Wizara ya Utalii kubuni mbinu mwafaka za kufufua utalii katika nchi yetu. Kwa mfano, wazo lililotolewa la kupunguza kwa ada za kuingia mbugani za wanyama litasaidia pakubwa na wananchi wengi watazuru kuwaona wanyama na mandhari mengine."
}