GET /api/v0.1/hansard/entries/1016449/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1016449,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016449/?format=api",
    "text_counter": 53,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Kuna Ronald Ngala Utalii College ambayo imemaliza karibu miaka saba bila kukamilika. Jambo la kusikitisha ni kwamba Serikali inajua hivyo. Ndugu yangu Najib Balala ambaye ni Waziri wa Utalii na Wanyama wa Pori anafahamu kwa sababu anaishi katika eneo hilo. Urithi atakaoacha ni kuhakikisha kwamba Ronald Ngala Utalii College imekamilika ili vijana wa maeneo ya pwani wasomee hapo ili wapate kazi."
}