GET /api/v0.1/hansard/entries/1016451/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1016451,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016451/?format=api",
    "text_counter": 55,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Utalii wa nyumbani ni wa maana sana. Ada inafaa kupunguzwa ili wananchi wa Kenya wenye mapato ya chini waweze kwenda kufurahia mandhari ya pwani na kila mahali ambapo watalii huzuru hapa nchini."
}