GET /api/v0.1/hansard/entries/1016885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1016885,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1016885/?format=api",
"text_counter": 489,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Waheshimiwa Maseneta, sasa hivi ni saa kumi na mbili unusu, wakati wa kusitisha hoja za Bunge la Seneti. Kwa hivyo, Jumba hili la Seneti sasa limehairishwa mpaka kesho Alhamisi, tarehe 24 Septemba, 2020 saa nane unusu adhuhuri."
}