GET /api/v0.1/hansard/entries/1017163/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1017163,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1017163/?format=api",
    "text_counter": 276,
    "type": "other",
    "speaker_name": "",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Kipengele cha 27 (8) huwezi kukigusa bila kurudi kwa Wananchi. Tuuseme ukweli wa mambo. Naomba Mwenyezi Mungu amguse Mheshimiwa Rais asikubaliane na Jaji Mkuu kwa jambo hilo ambalo litakaloleta mtafaruku kwa nchi yetu hii tukufu. Asante sana, Mheshmiwa Spika."
}