GET /api/v0.1/hansard/entries/1017413/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1017413,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1017413/?format=api",
"text_counter": 165,
"type": "speech",
"speaker_name": "The Temporary Speaker",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Asante sana waheshimiwa Maseneta kwa sababu ya Mjadala mzuri ambao tumekuwa nao. Ni vizuri kuchangia na niseme kwamba kama wosia huu wa korti hautaweza kutiliwa maanani, basi utapunguza makali ya mkono wa sheria na hilo silo jambo nzuri. Pia, kama itakuwa kwamba Bunge kwa ujumla liko katika huruma ya mkono wa utendakazi wa Serikali, basi itakuwa inapunguza uwezo wa Bunge. Lakini haya ni masuala ambayo yataendelea kuibuka pindi tunavyochangia huu Mjadala."
}