GET /api/v0.1/hansard/entries/1018201/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018201,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018201/?format=api",
    "text_counter": 54,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "na leo tunazungumzia maswala ya KMC. Yote inaashiria ya kwamba tuna ukiukaji mkubwa wa sheria katika nchi yetu ya Kenya. Kenya ina Katiba na sheria ambazo zinafaa zifuatwe na wote ambao wanahusika na mamlaka ya nchi. Itakuwa ni kupuuza na kudharau mamlaka yetu kama Bunge litakataa kuchunguza na kukemea swala kama hili ambapo tunaona ukiukaji wa sheria unaendelea kuongezeka. Asante, Bw. Spika."
}