GET /api/v0.1/hansard/entries/1018244/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018244,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018244/?format=api",
    "text_counter": 97,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "Pole, Bw. Spika. Meza zilikuwa zimekaribiana nikabofia ya Sen. (Prof.) Kindiki. Katika Kaunti ya Tana River tumekuwa katika hali ya hofu kwa sababu kuna vijana walichukuliwa jinsi Sen. Farhiya alisema. Walikuwa wakiendesha gari za aina ya"
}