GET /api/v0.1/hansard/entries/1018246/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018246,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018246/?format=api",
    "text_counter": 99,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Wario",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13224,
        "legal_name": "Golich Juma Wario",
        "slug": "golich-juma-wario"
    },
    "content": "wakibeba abiria kutoka Hola mpaka Bura. Tangu vijana hao kuchukuliwa kutoka magari hayo na kupelekwa mahali ambapo hapajulikani, mpaka leo familia hizo ziko kwa majonzi. Kwa kweli, Sen. Haji ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya National Security,"
}