GET /api/v0.1/hansard/entries/1018264/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018264,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018264/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Tunafahamu fikra inayoendelea katika anga za kimataifa. Uchina ni nchi ambayo imeendelea sana kutokana na utengenezaji wa bidhaa nyingi. Ukiangalia bidhaa tulizonazo hapa, utapata kuwa nyingi zimetoka Uchina. Sasa wameanza kuingia katika mambo ya mtandao; kutumia technolojia katika mawasiliano. Kampuni nyingi zilizoanzishwa Silicon Valley kule Marekani zilishtakiwa katika anga za kimataifa kwa sababu ya kutokuwa na usiri wa data ambayo wanapata kutoka kwa watu wote ulimwenguni."
}