GET /api/v0.1/hansard/entries/1018266/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018266,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018266/?format=api",
    "text_counter": 119,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Tukiangazia takwimu, uchumi wa Marekani ni zaidi ya trilioni USD21. Uchumi wa Uchina ni trilioni USD14.4. Inakisiwa kwamba chini ya miaka 10, uchumi wa Uchina utapita ule wa Marekani."
}