GET /api/v0.1/hansard/entries/1018267/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018267,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018267/?format=api",
    "text_counter": 120,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Nchi za Uropa na Marekani ziliendelea kwa sababu ya kutengeneza bidhaa na kutoa moshi wa kuharibu mazingira. Vile vile, Uchina inataka kuanza kufanya kazi kupitia mitandao. Kwa hivyo, siyo haki kusema kwamba ni kidude kimoja cha nchi fulani kinachotumia data visivyo."
}