GET /api/v0.1/hansard/entries/1018268/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018268,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018268/?format=api",
    "text_counter": 121,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Mwaura",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13129,
        "legal_name": "Isaac Maigua Mwaura",
        "slug": "isaac-mwaura"
    },
    "content": "Ikumbukwe kwamba humu nchini, kampuni ya Cambridge Analytica ilitumiwa kufanya ukarabati wakati wa uchaguzi. Kwa hivyo, nakubaliana na mwenzangu kuwa waangaliwe. Hawafai kuangazia TikTok pekee bali pia Facebook, Twitter, Instagram na"
}