GET /api/v0.1/hansard/entries/1018627/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018627,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018627/?format=api",
    "text_counter": 480,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "The Temporary Chairperson",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "(Sen. (Dr.) Mwaura): Sen. Mutula Kilonzo Jnr., ninafikiri nimefanya vivyo hivyo. Nimesema kwamba “ninapendekeza swala rasmi kwamba Kipengele 11 kiwe mojawapo kwa Mswada”. La pili ninasema kwamba “ninapendekeza swali rasmi kwamba, Kipengele 11 kiweze kurekebishwa kama vile kimependekezwa na Mwenyekiti.”"
}