GET /api/v0.1/hansard/entries/1018881/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1018881,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018881/?format=api",
"text_counter": 734,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Boy",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13200,
"legal_name": "Issa Juma Boy",
"slug": "issa-juma-boy"
},
"content": "Asante Sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza, nataka kusema maneno ili maseneta wenzangu wasikie, kwamba leo ni siku ya furaha kwetu sisi maseneta na hasa nchi nzima. Kila pahali ukipita katika kila kaunti au kila mtu ukimuona anauliza vile mjadala kwa Seneti unaendelea. Msimamo wa Seneti ulipokuja, tumeamua kupitisha Hoja hii na hakuna hata Kaunti moja ambayo imepoteza pesa. Bi. Spika wa muda, natoa shukrani kubwa sana kwa T eam Kenya na wale maseneta saba ambao kaunti zao zilikuwa zimepata pesa zaidi lakini wakasimama na sisi imara. Mwenyezi Mungu awabariki na awazidishie imani ili muweze kusimama na sisi."
}