GET /api/v0.1/hansard/entries/1018882/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018882,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018882/?format=api",
    "text_counter": 735,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, nikiendelea mbele, natoa shukrani kwa Rais wetu wa nchi yetu ya Kenya, Rais Uhuru Muigai Kenyatta kwa kuingilia kati ili huu mzozo uweze kumalizika. Amechukua jukumu kuonyesha yeye yuko tayari kuhakikisha kwamba hili swala limemalizika. Aliweza kuamrisha Ksh53.3 bilioni zisaidie kaunti."
}