GET /api/v0.1/hansard/entries/1018883/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018883,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018883/?format=api",
    "text_counter": 736,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Boy",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13200,
        "legal_name": "Issa Juma Boy",
        "slug": "issa-juma-boy"
    },
    "content": "Siku mbili sijaweza kulala kwa kuwa sikujua nikitoka hapa niende Kaunti yangu ya Kwale nitawaambia nini watu wangu wa Kwale. Leo nimesimama hapa kwa raha ana furaha, Kaunti ya Kwale ilikuwa ipoteze Ksh1 billioni. Mimi ningesimama vipi? Kuna maseneta wengi hapa ambao 2022 tuna nia ya kupigania ugavana, tutawaambia nini watu wetu?"
}