GET /api/v0.1/hansard/entries/1018987/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1018987,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1018987/?format=api",
    "text_counter": 57,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Asante Bi. Naibu Spika. Pole nilikuwa naongea na Kiongozi wa Walio Wachache, Sen. Orengo. Najiunga na ndugu yangu Seneta Sakaja kwa kumsifu na kuwatakia faraja familia iliompoteza Papa shirandula. Tunajua alikuwa mcheshi Sana na watu wengi karibu Kenya nzima iliweza kumtambua. Ni mtu aliweza kuleta tabasamu na furaha wakati wa jioni watu wakipata burudani zao ama wakiwa wanastarehe nyumbani mwao na familia zao. Bi. Naibu Spika, tukisema hivo tusisahau viongozi wengine. Bi. Naibu Spika, kelele imezidi upande huu."
}