GET /api/v0.1/hansard/entries/1019050/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019050,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019050/?format=api",
"text_counter": 120,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mwaruma",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13223,
"legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
"slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
},
"content": "waite maafisa wa usalama wa ndani waje waseme makamanda wa kaunti au makamishna wa kaunti wanaanzia wapi na kumalizia wapi. The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) iko na kituo cha kupiga kura Mtito Andei. Je, Mtito Andei iko Makueni ilhali kuna kituo cha kupiga kura katika Kaunti ya Taita-Taveta? Je wataleta majibu ya ile Taarifa lini?"
}