GET /api/v0.1/hansard/entries/1019140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019140,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019140/?format=api",
"text_counter": 210,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Katibu wa Muungano wa Wafanyikazi nchini Kenya, Bw. Atwoli, husema kuwa tabia kama hiyo ni ‘ushenzi kabisa.’ Hiyo ni tabia yenye utovu wa nidhamu. Gov. Oparanya akae akijuwa kwamba amri hiyo aliyotoa Wakenya wanailaani zaidi. Kama ni Wakristo wanasema, “Ashindwe Shetani.” Ashindwe! Hii ni kwa sababu hata mbele ya Mwenyezi Mungu yeye amekosea. Mungu mwenyewe alisema: “Nyinyi mtaendelea kunisifu na wale walio na imani watapona wakienda hospitalini.” Hivi leo amepuuza amri hiyo na anajifanya yeye ndiye kila kitu katika kaunti. He is nothing! Hawezi kuendesha kaunti zote kenya. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}