GET /api/v0.1/hansard/entries/1019142/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019142,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019142/?format=api",
    "text_counter": 212,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Ninasikitika sana kwa mtu kama yeye aliyekuwa kule ndani ya Ikulu. Sijui kama alikuwa ameshikwa na usingizi ama hakuwa kwenye mkutano ule, lakini tulikiona kile kiwiliwili chake pale ndani. Hivi leo anatoka pale baada ya kupewa Kshs50 billioni ambazo tulikuwa tumeziomba. Si yeye bali sisi tulikuwa tumeziomba kama Bunge la Seneti. Alitoka pale na kuleta sheria zake akisema kuwa kaunti zifungwe. Unafunga kaunti kama nani? Haitawezekana."
}