GET /api/v0.1/hansard/entries/1019144/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019144,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019144/?format=api",
    "text_counter": 214,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bi. Spika wa Muda, Bunge la Seneti linafaa kusheshimiwa kwa sababu ndilo linapeleka pesa katika serikali za mashinani. Waswahili watakwambia huwezi kuketi na kunyelea sinia ambalo unakulia. Yeye anatukana Seneti sasa lakini wakati ule walitaka pesa waliomba wapewe Kshs310 billioni. Wakati huu sisi tumewapa Kshs360 billioni. Yeye sasa anatakikana kusifu Bunge hili kwa sababu---"
}