GET /api/v0.1/hansard/entries/1019146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019146,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019146/?format=api",
    "text_counter": 216,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Asante Bi. Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii. Kwanza nakemea taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Magavana. Hana uwezo wowote kufunga zahanati au hospitali katika kaunti yoyote ya nchi hii yetu ya Kenya."
}