GET /api/v0.1/hansard/entries/1019147/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019147,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019147/?format=api",
    "text_counter": 217,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Nina hofu kidogo kuongea kuhusu yule Mwenyekiti, kwa sababu itakuwa kana kwamba ninajitosa katika zizi kupigana mieleka na nguruwe. Nitakuwa na uwoga kidogo kwa sababu yeye mwenyewe amejitosa katika ulingo ambao hana uzoefu, kujua ya kwamba hana sheria na uwezo wowote kisheria kusema kwamba kaunti yoyote inapaswa kufungwa ama huduma yoyote kwa mwananchi yeyote katika kaunti zetu za Kenya inapaswa kufungwa."
}