GET /api/v0.1/hansard/entries/1019148/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1019148,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019148/?format=api",
    "text_counter": 218,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Ninamhakikishia ya kwamba pale Laikipia na nimwambie Gavana wangu, mheshimiwa Nderitu kwamba kuanzia Nanyuki, Nyahururu na Rumuruti, mtu yeyote atakayekuwa mgonjwa ama mja mzito anapaswa kwenda katika hospitali bila kusikiliza maagizo yoyote ya mtu yeyote. Sisi tulimchagua Gavana Nderitu. Hatumjui gavana mwingine hata iwe Gavana Oparanya. Hicho ni kikundi tu kilichokutana hapa Nairobi au mahali pengine na kuchaguana. Sisi watu wa Laikipia maagizo ambayo tutafuata ni yale yaliyomo katika Katiba ya Kenya. Gavana Oparanya hana uwezo."
}