GET /api/v0.1/hansard/entries/1019149/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019149,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019149/?format=api",
"text_counter": 219,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Wakenya wote waendelee na shughuli zao, kwa sababu sisi kama Seneti--- Ninawahakikishia kwamba kesho tutakubaliana na tupitishe pesa ambazo zitakuwa zikienda kaunti. Hata kabla hatujapitisha, ijulikane wazi ya kwamba Mahakama Kuu Ya Kenya ilisema kwamba wanapaswa kuwa wakipewa asilimia hamsini ya pesa ambazo tulikuwa tumekubaliana."
}