GET /api/v0.1/hansard/entries/1019150/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1019150,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1019150/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Hakuna haja yoyote yake kuleta kizuizi chochote watu kupewa huduma. Rais wa Jamhuri ya Kenya jana alisema ataongeza zaidi ya Kshs50 bilioni na huyo mungwana alikuwa ameketi pale. Sasa anasema ati zahanati na hospitali zetu zitafungwa. Alisikia wapi? Sijui hayo maneno yameweza kumsumbua. Tunamwambia kwamba hospitali zetu zitaendelea. Kwa kusema kuwa hospitali zitafungwa, je, alisikia wapi? Kusema eti huduma zitafungwa katika kaunti zetu, je, alisikia wapi? The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate."
}